Mkoa wa Mwanza ni Mkoa wa Kimkakati, ila naona kama Mtanda "anaupoza" sana, anafanya ukuu wa mkoa wa kimangimeza, nilitarajia awe anakula "Misele" Ukerewe, Kwimba, Misungwi, Magu, nilimuona mara moja tu Sengerema akisema yule mama aliyedhulumiwa ardhi na Halmashauri wakaweka makaburi sijui...
Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters Ministries Mkoa wa Mwanza wasotea madai yao kwa miezi mitatu bila mafanikio baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya Shirika alina uwezo wakuendelea kuwalipa mishaara.
Baadhi ya Wafanyakazi walifukuzwa wamesema changamoto hiyo ilisababishwa na wahisani kwa...
Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada.....
Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa......
Kama unatumia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi.
Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:-
1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano iliyopo jijini Mwanza eneo la Capripoint inayomilikiwa na...
Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea.
Mradi wa maji wa...
Anonymous
Thread
buhongwa
kero maji buhongwa
kero ya maji
mwanza
nyamagana
Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo.
NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge.
2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo
swali, je atatumia jimbo gani?
arusha
asubuhi
christian
dar
dar es salaam
jimbo
kishindo
kugombea
kugombea ubunge
makonda
mapema
mkoa
mkoa wa arusha
mwanza
paul makonda
sana
ubunge
ukuu wa mkoa
Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa.
Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
Nimeingia Rock City juzi. Aisee I must admit that Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara kwenye sekta ya warembo na upatikanaji wao..
Warembo wa mwanza :
1. Wasafi wazuri wapo classic .
2. Sio malaya wakujiuza yani unaweza kupata mademu hata wanne mtaani ndani ya siku moja ( ni sound zako tu...
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki.
Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi.
Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea...