Tanzania hii si ile. Watanzania hawa si wale. Wakati wetu (tukiwa kwenye kutumikia Serikali na chama), ilikuwa rahisi kama kula bisi kuwaaminisha watanzania juu ya jambo fulani.
Ilikuwa rahisi kuwaambia Tanzania kuwa jezi za Simba ni za njano na za Yanga ni nyekundu. Na waliamini. Propaganda...