Wana JF,
Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala kiegesha lakini nakuta nadaiwa fedha za maegesho.
Kuna sehemu nyingine natajiwa hata sipajui lakini...
Mwanzo ukianza au siku ya kwanza kufanya inauma sanaaa ila siku ya pili utafanya tena pamoja na maumivu ya awali na utagundua siku ya pili maumivu sio kama ya awali, kisha maumivu yatapungua na yatapotea kabisa halaf utaanza kusikia rahaa, mara utakuwa mzoefu na maisha yataenda.
Kila kitu...
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho.
Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa
Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo
Sekondari nimeitwa jina la ukoo
mtaani na nyumani naitwa jina...
Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania.
Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
👇👇
Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.
👇👇
KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni
Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja.
Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.
Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Hello, naitwa Zakaria (lawyer by profession).🎓
Leo napenda tujifunze kuhusu MAMLAKA YA MAHAKAMA ya Mwanzo (Primary Court).
Kwa ufupi, Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama nchini Tanzania. Mahakama hii imeanzishwa kwa mujibu wa section 3 ya sheria ya Mahakama...
Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake:
Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession).
Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria zinazotumika Mahakama zingine kama District Courts, Courts of Resident Magistrate, High Court n.k., hii ni kwa...
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani,
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."
Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.
Sidhani kama anaweza kukaa...
Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika.
Ukubwa hekari moja
Bei 2.5m maongezi yapo
Mawasiliano piga simu 0718658747
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema zaidi ya Tsh bilioni 208 zimetengwa kujenga Mahakama za mwanzo 60 na vituo jumuishi vya haki 12 katika mkakati wa maboresho ya awamu ya pili ya kufikisha huduma za Mahakama vijijini.
Profesa Gabriel alibainisha hilo...
Salam kwa Jamhuri
Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda.
Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si...
Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA
Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi.
Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake:
''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.