Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila...
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuwa
Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny ,
Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...
Nimeona tangazo la kuitwa usaili TRA waombaji watafanyia Written Interview kikanda katika mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Mbeya na Mwanza.
Ni mwanzo mzuri katika utekelezaji wa agizo la serikali ili kuwapunguzia gharama waombaji wa hizo nafasi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwaajiri ya...
Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
Waziri wa Fedha Uingereza, Chancellor Jeremy Hunt, ameanza kukubali kile waingereza wengi walikuwa wakishuku lakini moyoni wakikikataa, kuwa kujiondoa Umoja wa Ulaya unawapiga kiuchumi kwa sana.
Waziri wa Fedha Uingereza sasa amekaririwa akikubali kuwa kati ya nchi zenye uchumi imara Ulaya...
Nasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake...
Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.
Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.