mwarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masai dada

    Ucheleweshaji wa mizigo Bandarini; Mwarabu aanze kazi?

    Wenye experience na vikwazo kama hivi, mliokomaa kiroho kusubiri mzigo mwezi mzima alafu uje ukae bandarini hivi.
  2. Z

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  3. C

    Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  4. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
  5. GENTAMYCINE

    Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

    Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
  6. Lord denning

    Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi. Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi? Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na...
  7. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  8. GENTAMYCINE

    Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  9. H

    Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

    Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na...
  10. kipara kipya

    Sakata la bandari CCM na Serikali yake inapaswa kubeba lawama

    Mjadala unashika kasi na uliopo kwenye masikio ya watu ni kuhusu bandari yetu kuibinafsisha kwa wamanga wa dubai. Mpaka muda huu kila mmoja anakuja na lake,ghafla bandari wakakurupuka kukanusha kuhusu hiyo habari bila kuweka vielelezo vya hayo wanayokanusha ,pili bandari unakanushaje nawe sio...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  12. Nyendo

    PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

    Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World...
  13. Mwande na Mndewa

    MoU zote 30 zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi Watanganyika wazisome,tusije kulala uchi kwa Mwarabu.

    Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
  14. EINSTEIN112

    Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

    Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano. Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo. Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha...
  15. mdukuzi

    Mkilazimisha kumleta Mwarabu bandarini tutamfanyia hujuma kana tulivyomfanyia Dangote na Nakumat

    Dangote alikuja na mkwara eti atauza cement 5000, tulichomfanya abajuta kuwekeza Tanzania. Kila week kuna roli linaanguka na kuwa scraper, cement yake haina tena soko wala hajawahi kuuza bei chini na wenzake. Huyo Nakumat alitaka kushindana na Shoprite, tulichomfanya hatasahau. Sisi ni...
  16. comte

    Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

    Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia...
  17. S

    Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

    Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai. Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
  18. F

    Nyie Wabunge wetu Hayati Dr.Magufuli aliwahi kusema Watanzania si Wajinga! Tumepigwa na Mwarabu!

    Ebu tuelezeni kwa nini uwekezaji au ubinafsishaji wa DP World kupitia Serikali ya Dubai uwekewe fensi kupitia Azimio la Bunge!? Ikitokea Watanzania haturidhiki na kazi za DP World, je Bunge litakaa tena kuondoa Azimio la Bunge kuridhia makubaliano haya! Wabunge mmekazana huu si mkataba wa kazi...
  19. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  20. MURUSI

    Wale Wamasai walio Hamishwa Ngorongoro ilikuwa ni trela, Mwarabu anaitaka sana Ngorongoro

    Uhamisho wa Wamasai tarafa ya Ngorongoro ilikuwa ni trela kwa sababu Mwarabua anaitaka sana ikibidi Loliondo nzima kwa ajili ya Utalii wa uwindaji na utalii wa Picha. Kuna hitajika Wamasai 300, 000+ wahame Ngorongoro kupisga utalii wa Picha na uwindaji. Kumbuka walio hamishiwa Handeni ni...
Back
Top Bottom