Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali.
Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza.
Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela.
Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo;
1. Hotelini walipofikia Yanga.
2...
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa...
Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
Wakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo...
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.
Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha...
Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa.
Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi?
Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na...
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.
Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
Anzeni sasa kujiandaa kulaumiana kwani leo kwa kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan, lakini unaenda kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022.
Nikisema jambo hapa niamini 99.9%.
Habari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
Jamani kwema
Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢...
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro
Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja
Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili
Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa
Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi
Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.