mwauwasa shida maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto, Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa majibu kwa hoja ya Mdau ambaye aliandika ~ Waziri Aweso, hamishia ofisi yako Mwanza, tena kaa Nyegezi! Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa tete kwa takribani mwezi mmoja MWAUWASA: Tunapenda kueleza kuwa hali ya huduma ya maji...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya TANESCO kukanusha hitilafu ya umeme kukosekana kwa maji MWANZA. Waziri Aweso unakuja Mwanza na majibu, Au unakuja kutupa pole kwa kudanganywa

    Hivi karibuni mamlaka ya maji mkoa wa Mwanza (Mwauwasa) walitoa taarifa ikihusisha hitilafu ya umeme kwenye vituo vya kuzalisha na kusambaza maji, changamoto iliyosababisha ukosefu mkubwa wa maji kwa takribani wiki tatu. Mamlaka hiyo iliujulisha umma kuwa inashughulikia changamoto husika kwa...
  3. JamiiForums Tanzania MWAUWASA yaweka wazi kuhusu changamoto ya upungufu wa uzalishaji maji kutokana na kuyumba kwa umeme

    UPUNGUFU WA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA MAJI 09.06.2026 MWAUWASA inasikitika kuwataarifu wateja wake kuwa, kumekuwa na upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, kutokana na kuyumba kwa nishati ya umeme kwenye vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji. Hali hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…