mwendazake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Malipo ya Mrithi kwa Mwendazake yanatupa findisho kubwa sana

    Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae . Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody. Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
  2. Father of All

    Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  3. S

    Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

    Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake. Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
  4. Mwizukulu mgikuru

    Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

    Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni...
  5. mzee wa liver

    Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

    Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni...
  6. S

    Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo. Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi. Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje. Aliwatesa sana wafanyakazi kwa...
  7. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  8. R

    Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

    Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI". Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
  9. Mganguzi

    Makonda ana hulka zile zile za Magufuli. Uchaguzi ujao tegemeeni yale yale ya 2020

    Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote. Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism...
  10. MEXICANA

    Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  11. Father of All

    Kwanini Rais Samia na chawa wake hawajifunzi toka kwa Hayati Magufuli?

    Kama kuna mtu tutamkumbuka kwa kuanzisha sera za kuabudia na kumsifia rais si mwingine bali Mwendazake. Alitegeneza kile ambacho kiingereza huitwa cult sina kiswahili chake. Alisifiwa hadi kuitwa Mungu tena na profesa aliyejisifu usomi sana japo alikuwa kihiyo wa kawaida. Samia naye hakubaki...
  12. Mhaya

    Kwanini wanaomchukia Mwendazake wengi wao ni watu wa Pwani na Zenji?

    Nimefanya utafiti wangu Uchwara mitandaoni na uraiani. Nimegundua asimilia kubwa ya watu wanaomchukia Legendary John Pombe Joseph Magufuli kwa asilimia kubwa ni watu kutoka Pwani na wengine Zanzibar ambao wengi wao ni wavaa vibagalashia. Ikumbukwe sina chuki na Dini wala mambo ya Udini. Katika...
  13. S

    Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

    CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi). Wakati watu wengi wanaamini ile...
  14. F

    Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Magufuli amewafanya Watanzania wawe mafukara zaidi

    Hi! Sekta ya ajira Serikali yake ilishindwa kuajiri angalau kwa wastani wa kupunguza jobless kwa kila familia na ukoo. Sasa hakuna Rais ataweza kufix suala la unemployment Tanzania. Mpaka sasa wapo madaktari wanajitolea na kulipwa kidogo ili tu siku ziende. Hali hii haijawahi kutokea tangu...
  16. S

    Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

    Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora...
  17. Mwizukulu mgikuru

    Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

    Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na...
  18. D

    Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

    Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na...
  19. Sambinyakwe kitololo

    Hivi hili jina Mwendazake wanalomuita Magufuli ni official?

    Leo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona...
  20. Mystery

    Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
Back
Top Bottom