Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake.
Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao
Nawasilisha
Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
ccm
chadema
dk slaa
dr slaa
katazo
katiba
kisiasa
mikutano
mikutano ya hadhara
mikutano ya kisiasa
mwendazake
ruhusa
serikali
upinzani
vyama vya upinzani
zuio
zuio mikutano ya hadhara
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu...
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
William Ruto rais aliyethibitishwa na mahakama baada ya mpinzani wake kugomea matokeo yuko hatarini kuangushwa kabla hata ya kumaliza kipindi chake cha kwanza. Ameanza na papara huku akijua fika kuna majeraha mengi ya kuponya kwanza.
Kwa haiba na hulka Ruto ni mbepari si mjamaa, tajiri mkubwa...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke.
Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which...
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.
Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Wana JF
Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa...
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu.
Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri.
Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake.
Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa.
Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake...
Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi
Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali.
Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.