mwendazake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  2. S

    My intuition: Uwepo wa Mwendazake ulikuwa tishio kwa mteule wa Mungu, hivyo ilibidi Mungu amtangulize kumlinda Mteule wake

    Hivi ndivyo intuition yangu inavyonieleza kuwa Mwendzake alikuwa anataka kumshughulikia au kumkwamisha Mteule wa Mungu ambae ndio angekuja kumrithi. Kwa maneno mengine, Mungu kamuwahi ili mtu wake aje achukue nafasi. Angeweza kumshughulika au kukwamisha mchakato au harakati ambazo matunda yake...
  3. Madihani

    Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  4. BAK

    Je, atatokea mwenye kuumiza zaidi Watanzania kuliko mwendazake?

  5. figganigga

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  6. J

    Kwa namna walioachwa na Mwendazake wanavyotaabika, ni dhahiri wateule awamu hii watajilimbikizia mali

    Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa. Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni. Cheo ni dhamana kwa kweli. Akina Halima James Mdee...
  7. Mwenda zake

    Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (Ukoloni Mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  8. Prisonerx

    TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

    Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. CURRICULUM VITAE – (CV) SURNAME: KWANDIKWA FIRST NAME: ELIAS OTHER NAME: JOHN SEX: MALE MARITAK STATUS: MARRIED DATE OF BIRTH: 1st...
  9. S

    Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

    Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
  10. Ngongo

    Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

    Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake. Nawasilisha.
  11. Alexander The Great

    Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

    Habari Wana Kijiji, Binafsi nimeshtuka sana, mpaka nlidodosha bakuli langu la pombe ya kienyeji jana usiku nlipokuwa kilabuni baada ya kupata habari hizi za kuogofya na kushtua. Habari zenyewe ni baada ya kuambiwa wale jamaa zetu wanaotupa misaada kama taifa, misaada wanayotupa ya kila mwaka...
  12. chiembe

    MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

    Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa. Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR, Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa...
  13. Shujaa Mwendazake

    Hata TEF inaonekana mliufyata kila mlipoona sura ya Jiwe

    Hayati Magufuli alihudhuria Ibada za Wakatoliki karibu kila Jumapili hadi alipopotea tukaanza kumtafuta. Hakuna cha Padre wala Askofu aliyewahi kusimama mbele yake akamwambia maneno kama aliyoambiwa Rais wetu Samia leo. Tafakari.
  14. BAK

    Mahakama hazikuwa zikitenda haki kuhusu kesi za Uhujumu Uchumi

    Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza. Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya...
  15. mirindimo

    Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  16. chiembe

    Ummy Mwalimu mshauri Rais Samia afute tangazo la kulivunja Jiji la Dar es Salaam

    Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji. Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.
  17. Mheikungu

    Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

    LOGIC: "Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani." 1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani? 2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani? 3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa...
Back
Top Bottom