mwenezi ccm arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahinyila: Tunaona watu wanasema Heche apishe uchunguzi kwani Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama?

    ‎"Leo tunaona watu wanaandamana wanasema Heche apishe uchunguzi.. Heche ni nani kwenye CHAMA, Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama? Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama inazuia vipi uchunguzi wowote kufanyika ndani ya Chama mpaka umwambie akae pembeni.... Taratibu za kukusanya Michango...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Arusha: Uchawa ni tatizo kwenye taifa. Ukosoaji unakuwa kama vile ni haramu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa Akizungumza leo Julai 21, 2026, ofisini kwake...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Arusha: Uchawa ni jambo ambalo linaharibu taifa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa Akizungumza leo Julai 21, 2026, ofisini kwake...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenezi CCM Arusha, Saipulani Ramsey: Uchaguzi ni jambo la kupita, asijitokeze mwanasiasa yeyote kuwaambia bodaboda muandamane

    Mwenezi wa Itikadi, Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekutana na zaidi ya waendesha bodaboda 300 jijini Arusha na kuwasihi kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kuratibiwa kupitia mitandao ya kijamii tarehe 29 Oktoba, akisisitiza umuhimu wa kulinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…