Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Leo tunaona watu wanaandamana wanasema Heche apishe uchunguzi.. Heche ni nani kwenye CHAMA, Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama? Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama inazuia vipi uchunguzi wowote kufanyika ndani ya Chama mpaka umwambie akae pembeni.... Taratibu za kukusanya Michango kwenye Chama ziko wazi, Makamu Mwenyekiti hakuna mahali kokote atazuia uchunguzi wa aina yoyote" ameeleza Mahinyila
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) taifa, Wakili. Deogratias Mahinyila, ameeleza hayo Jumatano Julai 22, 2026 Jijini Dar es salaam alipofanya mahojiano na Jambo Tv.