MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI
Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
Fuatilia kinachojiri kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, leo Aprili 2, 2024 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ni Mgeni rasmi.
https://www.youtube.com/live/Tn-4Dnih7Ns?si=AnmsV1cFL-h2A6ze
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Jeshi la polisi nchini limewahakikishia Watanzania Hali ya Amani na usalama wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru utakaofanyika kesho Jumanne mkoani Kilimanjaro.
Tukio Hilo la kuwasha mwenge litafanyika kwenye uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi...
Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.
Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi
Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
Mwenge wa uhuru? Kivipi?
Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa?
Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge?
Watumishi wa umma wanalazimishwa...
MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote
Akizungumza na waandishi wa habari...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023...
Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdallah Shaibu tarehe 02 Septemba, 2023 amepongeza utekelezaji wa miradi ndani ya Wilaya ya Momba na kusisistiza kuendeleza utunzaji wa mazingira.
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe amewasisitiza watu wa bonde (Game...
Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Mh. Rais Samia wiki mbili hivi zimepita ulitamka kuwa umetuma kikosi kazi kutathmini hali ya mashirika ya Umma ili kupata jibu lipi lifutwe, lipi libinafsishwe na lipi liboreshwe. Good.
Ni kweli tumekuwa na mashirika ya Umma ambayo ni kichaka cha uhujumu uchumi, hayana tija. Na kuna mashirika...
MAANA YA MBIO ZA MWENGE
za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa Tanzania, kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa, na kuelimisha umma kuhusu maendeleo na rasilimali za...
Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa.
Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni tunu na nembo ya Taifa ambayo inapaswa kuheshimiwa hivyo, kusema kuwa unasumbua wananchi ni kuitusi...
Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'.
Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?.
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao umekimbizwa, kutembelea, kukagua na kupitia miradi nane (8) ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya Tsh...
Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo.
Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.