mwenge wa uhuru

Mwenge wa Uhuru
Mwenge wa Uhuru una muundo wa tochi ya mafuta ya taa ambayo inaashiria uhuru na mwanga. Mwenge wa uhuru ulinyanyuliwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro mnamo Desemba 9, 1961 na shujaa Brigedia Alexander Nyirenda ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki.

Sababu ya huyu brigedia kunyanyua mwenge huu ni kuonesha fahari ya nchi na pia kuleta matumaini kwa Watanzania wote kwa kutokata tamaa, kupendana, kuheshimiana na kutogombana ikimaanisha kuwa na ushirikiano.

Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka kuanzia maeneo mbalimbali nchini.
  1. B

    Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

    MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
  2. Kassim Majaliwa: Bangi ya 'Cha Arusha' pamoja na 'Skanka' inafanya watumiaji kuwa vichaa

    Fuatilia kinachojiri kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, leo Aprili 2, 2024 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ni Mgeni rasmi. https://www.youtube.com/live/Tn-4Dnih7Ns?si=AnmsV1cFL-h2A6ze Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. CP Awadh Haji: Watakaoleta vurugu Uzinduzi mwenge wa uhuru kukiona cha moto

    Jeshi la polisi nchini limewahakikishia Watanzania Hali ya Amani na usalama wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru utakaofanyika kesho Jumanne mkoani Kilimanjaro. Tukio Hilo la kuwasha mwenge litafanyika kwenye uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi...
  4. R

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  5. Ukweli usemwe: Ni Mwenge wa Uhuru au wa Utumwa?

    Mwenge wa uhuru? Kivipi? Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa? Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge? Watumishi wa umma wanalazimishwa...
  6. Luhaga Mpina Ashauri Mwenge wa Uhuru Upitie Miradi Yote

    MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. Rais Samia: Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa uwepo wa mvua la El Nino nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023...
  8. Mwenge wa Uhuru Wazindua Miradi ya Bilioni 2.2 Wilaya ya Kaliua

    Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
  9. Karibu Mwenge wa Uhuru Ndani ya Mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
  10. Mwenge wa Uhuru Wazindua Miradi Jimbo la Momba

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdallah Shaibu tarehe 02 Septemba, 2023 amepongeza utekelezaji wa miradi ndani ya Wilaya ya Momba na kusisistiza kuendeleza utunzaji wa mazingira. Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe amewasisitiza watu wa bonde (Game...
  11. S

    Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
  12. Rais usiusahau Mwenge wa Uhuru

    Mh. Rais Samia wiki mbili hivi zimepita ulitamka kuwa umetuma kikosi kazi kutathmini hali ya mashirika ya Umma ili kupata jibu lipi lifutwe, lipi libinafsishwe na lipi liboreshwe. Good. Ni kweli tumekuwa na mashirika ya Umma ambayo ni kichaka cha uhujumu uchumi, hayana tija. Na kuna mashirika...
  13. B

    Mwenge wa Uhuru Umulike Bandari zetu: Historia yetu itulinde

    MAANA YA MBIO ZA MWENGE za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa Tanzania, kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa, na kuelimisha umma kuhusu maendeleo na rasilimali za...
  14. January Makamba awavaa wanaosema Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati

    Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa. Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni tunu na nembo ya Taifa ambayo inapaswa kuheshimiwa hivyo, kusema kuwa unasumbua wananchi ni kuitusi...
  15. B

    Mwenge wa Uhuru wazindua kituo cha redio Chalinze FM 97.5

    Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'. Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
  16. Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023, Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze imezinduliwa bila kipingamizi chochote na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa

    CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
  17. Mwenge wa Uhuru Watua Wilaya ya Mufindi Siku ya Mei Mosi

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
  18. Mwenge wa Uhuru waridhia miradi yote Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao umekimbizwa, kutembelea, kukagua na kupitia miradi nane (8) ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya Tsh...
  19. N

    Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  20. Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…