mwenyekiti chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Kabla ya Kumchagua Mwenyekiti CHADEMA Wafanye Uamuzi Huu Kwanza

    Na. M. M. Mwanakijiji Hakuna jinsi. Kinachotokea CHADEMA ni matokeo tu.. Nashauri wafanye uamuzi kuwa atakaye peperusha bendera ya mgombea wa Urais HATOKUWA Mwenyekiti wa chama na kuwa Mwenyekiti wa chama hatokuwa mgombea Urais au Ubunge. Jukumu lake liwe kwenye chama. Wakati wa kampeni za...
  2. Waufukweni

    Mch. Msigwa: Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti CHADEMA, anaweza kuipa changamoto CCM

    Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi. Pia, Soma: - Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la...
  3. K

    Nampa maua yake ndugu Odero C Odero kutokana na mdahalo wa jana kwa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA

    Jana usiku kulikuwa na mdahalo kwa wagombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili kunadi sera zao na wapiga kura kuwapima kama wanatosha kushika nafasi hiyo. Katika mdahalo huo mgombea muhimu sana allingia mitini kwa sababu anazozifahamu yeye. Nipende kumpongeza Ndugu Odero kwa ujasiri aliokuwa...
  4. Mindyou

    Nani hupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA? Wajumbe wanatokana na nini?

    Wakuu, Najua hili swali ntakuwa sijiulizi peke yangu najua tuko wengi tunaojiuliza! Sote tunajua Rais wa nchi anachaguliwa na wananchi wote as far as wamefikisha vigezo vinavyostahiki. Nataka nijue nani hasa humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA. Mchakato wao wa uchaguzi ukoje? Je, ni mtu yeyote...
  5. J

    Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

    Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili...
  6. M

    Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  7. K

    Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  8. Lord denning

    Baada ya Lissu kuwa Mwenyekiti Chadema tujiandae kuwaona tena Wabobezi wa Sheria kina Andrew Chenge na wengine wakirudishwa CCM

    Inahitaji kuwa na akili kubwa sana ili uweze kupambana ki hoja na Tundu Antipass Lissu. Naziona siasa za Tanzania zikibadilika sana kuelekea kupata Tanzania yenye Katiba Bora kabisa upinzani ukiongozwa na Tundu Antipas Lissu Naona kurejea pia kwa watu wanaojua Sheria katika Chama cha Mapinduzi...
  9. M

    Hoja 8 kwanini Mbowe anafaa kuchaguliwa tena Mwenyekiti CHADEMA

    1. Uzoefu wa Uongozi Ufafanuzi: Mbowe ana uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi wa CHADEMA, akiliongoza chama kupitia changamoto mbalimbali za kisiasa na kuhakikisha kinaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Uzoefu huu unamuwezesha kushughulikia masuala magumu kwa ufanisi...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe: Nimeanzisha CHADEMA nikiwa kijana mdogo wa miaka 30

    https://www.youtube.com/watch?v=X4mfNXq4ep8 Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema; "Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kibiti atangaza kumuunga mkono Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani...
  12. Huihui2

    Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Msikie kwenye hii video:-
  13. Mtoa Taarifa

    Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  15. Rula ya Mafisadi

    Pre GE2025 Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

    Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa. Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
  16. B

    Pre GE2025 Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

    Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa: A. SERA ZA LISSU: 1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama. 2. Uwazi katika mapato na matumizi. 3. Upatikanaji wa wawakilishi wa chama mfano Viti maalumu na ngazi zingine zifuate utaratibu. 4. Uwepo ukomo wa kupata nafasi...
  17. Etwege

    Tundu Lissu: Uhusiano wangu na Mwenyekiti Mbowe siyo mzuri

    Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwa ni mbaya sana kiasi kwamba hawezi kwenda nyumbani kwa Mbowe akala na kunywa kwa...
  18. Tlaatlaah

    Nawatakia heri ya Christmas na maandalizi mema ya mapumziko ya mwaka mpya 2025 wajumbe wote wa mkutano mkuu wa CHADEMA taifa

    Msisahau. Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu ukoloni mambo leo anaojaribu kuuingiza nchini huyo kibaraka. Mpaka sasa, Shukran za kipekee ziwaendee...
  19. Tlaatlaah

    Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025? Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena...
  20. Subira the princess

    Ni dhahiri kuna kila dalili ya goli la mkono katika uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA hapo January

    Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi wajumbe wa kamati kuu kumchagua kwa kura za kishindo. Ukija upande wa pili mh Lissu amelalamika...
Back
Top Bottom