Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema.
Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa...
Wakuu,
Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM??
====
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho.
Akizungumza na...
Habari!
Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,
Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie,
Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya
1. Ugombea Urais 2025.
2. Uenyekiti wa chama Taifa...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa mujibu...
Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza wananchi kuchagua viongozi wa CHADEMA kwani sio dhaifu na hivyo kutoa wito...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto huko, patashika nguo kuchanika ikiwa ni siku ya pili ya kampenzi za uchaguzi serikali za mitaa.
=====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu.
Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa.
Upo...
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.
Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa.
Ni muungwana asie mbishi wala...
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi.
Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe
Mfano ifuatayo...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.
Wengi wao wanao msema Mbowe ni wanaccm. Unajiuliza hao wana CCM wanatoa wapi hiyo huruma kwa wana CHADEMA?
Mbowe ni tunu...
Ni hilo tu
Mbowe ulishatangaza 2023 unastaafu na Mungu wa mbinguni alisikia pia Dunia ilisikika.
Mungu anasema Ukiahidi Timiza.
Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi Freeman Mbowe wa Chadema 😀
Pia soma
Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Mbowe ameongoza...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam...
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu Lissu alikuwa busy na mambo yake ya sheria akiwa na miaka 36. Halima Mdee alikuwa na miaka 26...
Salaam, Shalom!!
Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa, auweke hapa. Nimesema hayo Ili Ushauri wangu uwe ushauri binafsi, usio na mashinikizo ya kichama...
kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri.
Na kwamba wachangiaji wa gari...
Wanajukwaa,
Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Chama hiki kimeongozwa na wenyeviti takribani watatu mpaka sasa kwa maana ya Mzee Edwin...
Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025
Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa. Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara
========
Mei 3, 2024
Na...
Njombe, Tanzania
CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa.
Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.