Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini?
Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?