mwenyekiti wa bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine wa CHADEMA katekwa. Ni Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa

    Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake. Wanachadema na watetezi wa haki za...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAWACHA Ilala: G55 wameahidiwa Majimbo 30 na fedha Tsh. Milioni 200 kila jimbo, ushahidi tunao

    Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati unaendelea dhidi yao. Gisunte amesema wanazo taarifa kuwa G55 waliojitoa uanachama wa Chadema...
Back
Top Bottom