Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.