Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za...