[emoji625] UVCCM - TAIFA
[emoji2783] 23 Mei, 2023. Dodoma.
[emoji288] EDNA NA WAANDISHI WA HABARI
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo na Waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tathimini ya Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa Ndugu...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu,
Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati.
Freeman Mbowe, kiongozi hodari,
Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati.
Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni,
Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu.
Katika harakati zake, anapigania...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba.
Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya...
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu.
Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023.
Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023.
Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima pamoja na kuongeza tija kwenye uzalishaji ili wakulima waweze kupata faida baada ya gharama zao...
Habari za saa hizi Wanajamii Forums,
Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu.
Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam.
Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar Es Salaam.
Katibu wa Chawa wa Mama Taifa Neema Karume amesema...
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge.
Leo Jumanne April 4, 2023 Bunge kwa kauli moja limewapitisha Mhe. Najma Giga (Viti Maalum), Mhe. David Kihenzile...
Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo.
Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01 April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa.
Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
Anonymous
Thread
ccm
mifuko
miili
mkoa
mwenyekitimwenyekiti wa ccm
rambo
salama
simiyu
tena
Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro.
Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.