mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  2. T

    Ushauri kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa. Jikite katika kukitangaza chama na kumtangaza mwenyekiti

    Habari, Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa. Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
  3. JF Member

    Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

    Naomba kujuzwa, TLP ina Mwenyekiti ama ndo byebye?
  4. BARD AI

    Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  5. Mocumentary

    Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  6. Ikaria

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  7. BARD AI

    Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  8. Kadoda nguku

    Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  9. K

    Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  10. K

    Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura. Katika mkutano huo pia...
  11. J

    Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
  12. Teko Modise

    Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  13. Valencia_UPV

    Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

    Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako. NB: Naambatanisha na tasnifu (PhD Thesis) yake ya shahada ya Uzamivu.
  14. J

    PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  15. I

    UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

    Mohamed Kawaida ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa ambapo Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa imechukuliwa na Bi Rehema Sombi Omary MATOKEO YA UCHAGUZI UVCCM ==========================
  16. J

    Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
  17. S

    Kwanini Victoria Charles Mwanziva, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa 2022-2027

    KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027 Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
  18. figganigga

    Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa CCM Dar ni Mtemvu, wale jamaa wataficha wapi sura zao? Nasikia kapata kura 444 Abbas Mtemvu ndo mwenyekiti Mpya wa CCM wa Dar Es Salaam
  19. J

    UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

    UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
  20. GENTAMYCINE

    Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

    Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
Back
Top Bottom