Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.
Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu.
Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema?
au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi?
na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa,
kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma.
Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika...
Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi kuuonyesha.
Maridhiano ni process.
Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti.
Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya?
Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea...
Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature .
Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti.
Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti.
Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti.
John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo.
Ni mwanachama Asili wa Chadema umepikwa na kupikikia na ni mzalendo wa kweli na mwenye Busara na Hekima utamsaidia...
Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo...
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji.
Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama.
Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa.
Sisi awamu hii kama...
Wanabodi,
Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,
Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani?
Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo
1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited
2. Unaweza...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.)
Hali hii inatokana na changamoto mbalimbali zinazokabili chama hicho, ikiwa ni pamoja na mpasuko wa ndani na ushindani mkali...
LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasosholojia, na kama haitoshi Majasusi wa kuzaliwa. Tunajua kuna kanuni za vita, mapambano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.