Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema.
Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa...
Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu.
Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti?
Wanahofu na nini?
Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki.
CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais.
Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani;
"CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa.
Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20.
Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa
=============
Mwambieni Cheyo tushawahi kupata Rais "kichaa" ambaye mpaka alileta wazo la mahakama ya "mafisadi" lakini...
Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu.
Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya Kisiasa hapa nchini kwa muda mrefu kwa sababu naamini ni wajibu wangu.
Tangu tarehe 12/12/2024 Mh...
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti...
Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza
Kukaa jela hata miaka 10
Kufa
Kuteswa
Kwa sababu ccm sio tena chama cha siasa ni genge la wahuni mfano uchaguzi wa serikali...
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani.
Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
Wakuu,
Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika?
Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae.
========================================================...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.