Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi.
Katiba yetu iko wazi jinsi...
Kuna hawa wanasema, mtu atakupost mitandaoni ila moyoni mwake haupo.
Kuna hawa wanasema, mtu akupost mitandaoni ili watu wajue unapendwa kwa sababu huko moyoni hamna anayekuonako[emoji23]
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana
Mke anayehitajika
Umri:22-29
Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan
Rangi: Mweupe...
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto.
Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Habari wana JF,
Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako...
Pia soma: Do you feel LOVED?
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,
ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa,
Nilikuwa najiuliza sana...
Wakuu tupo pamoja.
Mimi hapa nina mwanamke mmoja bwana ana mtoto mmoja ila sio wangu nataka kumuoa, nimeridhia kabisa na nimempenda mwanamke licha ya kuwa na mtoto, ila kipengele kinakuja kwenye familia sidhani kama watanielewa! na hata kama watanielewa sidhani kama watatoa ushirikiano...
Habari za usiku huu wana JF....
Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike ama wa kiume ukukitana na janga kama hilo.
UTAMWAMBIEJE Au UTAMSHAURIJE ILI ASIJISIKIE VIBAYA MTU...
Maneno ya Matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana.
Useseme maneno mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.