mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr George Francis

    Matunzo kwa mwenza siyo hisani, ni lazima

    MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA. Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria? Soma hapa upate majibu. Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa wenza wetu ni hisani tu kama namna ya kuwasaidia au kuonesha upendo tu dhidi yao na wala sio jambo la...
  2. karv

    Jifunze kumpenda mwenza wako hata kama hakua chaguo lako la kwanza

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Leo katika pita pita zangu nimeona niwaletee hii japo kuwa wapo ambao wstapinga. Si kila mtu anapata bahati ya kuoa au kuolewa na mtu ambae alimpenda Mara kadhaa unajikuta kua mtu ambae ulimpenda kwa dhati alikuumiza Yeye alikua...
  3. F

    Mwenza anahitajika

    Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
  4. Lady Whistledown

    Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  5. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Bilioni 3.9 za Mgombea Mwenza wa Urais Kenya zataifishwa na Serikali

    Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali. Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha...
  6. JanguKamaJangu

    Faida na athari za Mwanaume kuwepo katika chumba wakati mwenza wake akijifungua

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna mambo ambayo yanaweza kutajwa kuwa ni faida au hasara za suala hilo kama ambavyo inafafanuliwa na...
  7. S

    Natafuta mwenza wa maisha

    Habari humu ndani.... Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha . Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi. Nami ni muajiriwa Serikalini....
  8. Memtata

    Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

    Kwema Wakuu! Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu! Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki. Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na...
  10. MR LINKO

    Je, Unatakiwa kumwambia mwenza wako idadi ya uliowahi kufanya nao ngono?

    Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa kufanya hivi kunaweza kuwa na faida lakini pia hasara kwa upande mwingine. Hizi ni faida na hasara za...
  11. Uhakika Bro

    Mbinu mbadala ya kumtambua potential 'soul mate' kwa kutumia vidole!

    Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena inayogundulika mapema ya kumjua potential soulmate wako. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi vile...
  12. J

    Nahitaji Mwanaume

    Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
  13. F

    Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
  14. Chachu Ombara

    Kenya 2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
  15. Kiokotee

    Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

    Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo; 1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  18. Rakims

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  19. May Day

    Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  20. D

    Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...
Back
Top Bottom