Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako;
1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea...
1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu.
2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha.
3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
Habari wakuu,
Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni.
Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani.
Tatizo lilipoanza...
TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI.
Na Thadei Ole Mushi
1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
Habari wana JF,
Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu.
NB: Awe tayari kupima HIV.
Habari wana JF.
Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.
Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,
Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.
Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae.
Na mtoto ana umri wa miaka 20.
Mume wa ndoa kazaa naye...
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Habari za majukumu Ndugu zangu,
Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa...
Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana.
Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa.
Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Mimi ni kijana wa kiume
29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo
1. Umri 22+
2. Dini (Christian) mcha Mungu
3. Location - Tanzania
Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.
Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.
Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata!
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.
Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa muislamu...
NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu.
Sifa zake :
Ajira: Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato: Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu: Ana mawe...
Kwema Wakuu!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude.
Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother.
Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae.
Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake.
Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake.
Na yeye pia ana Dada na kaka.
Ushauri naamni jf wapo wazoefu...
Wasalaam wana JF
Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma gurudumu la mahusiano na watu wengine huko waliko mwisho mahusiano yakatika kikomo pia.
Unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.