mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gallow bird

    Ukimfumania mwenza wako,usimsamhe

    Kwenu wanaume wenzangu,nawasihi,mkifumania wenza wenu msisamehe,hakuna kupitiwa na shetani,alidhamiria,tena kuna wakati ilichomoka,yeye ndiye akairudisha ndani Mila unapofikiria kumsamehe basi kumbuka picha hizi
  2. L

    Ushauri wangu kuhusu uhamisho wa kumfuata mwenza wa ndoa kwenye kituo cha kazi

    Salaam wakuu... Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao. Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa...
  3. didy muhenga

    Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

    Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kwenye ndoa.
  4. RIGHT MARKER

    Usiruhusu ukaribu uliopitiliza kati ya mwenza wako na marafiki zako (mashemeji)

    Mhadhara wa 27: Ukaribu uliopitiliza kati ya Mwenza wako na marafiki zako ni hatari sana. Ukaribu wa marafiki zako kwa Mwenza wako ukipitiliza mambo huwa hivi. 1. Leo wanaitana "shemeji" 2. Kesho wataitana "shemu" 3. Keshokutwa wataitana "meji" 4. Mtondogoo wataitana "shemu darling" 5...
  5. P

    Natafuta mwenza

    Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka. Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji...
  6. J

    Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

    Habari! Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24 Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
  7. GENTAMYCINE

    Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  8. Moto wa volcano

    Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

    Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k. Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na...
  9. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  10. B

    Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  11. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  12. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  13. NESARA1952

    Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  14. Mjanja M1

    Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

    Leo Mjanja M1 nimetafakari sana kuhusu mfanano wa hivi vipakiti vya dawa ya Mbu na Ndom. Je ushawahi kupata msala wowote kwasababu ya hivi vipaketi?
  15. P

    Nahitaji Mwenza

    Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha. Sifa zangu ni Mweusi Mkristo Ninafanya bihashara Nina watoto 2 Naishi dar es salaam. SIFA ZA MWANAUME. Rangi yoyote Awe mrefu, asiwe na kitambi Kabila...
  16. Tlaatlaah

    Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
  17. Uwesutanzania

    UKIMWI (HIV) isikutenganishe wewe na mwenza wako

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa pole na waliokutwa na kimbunga hidaya. Na ndugu zangu wa Rufiji, Arusha na Morogoro sijawasahau...
  18. L

    Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  19. Surya

    Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  20. T

    Pre GE2025 Mgombea mwenza wa Urais Tanzania akitokea Zanzibar mgombea Urais anakuwa ametokea nchi gani?

    Mgombea mwenza wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokea Zanzibar mgombea urais anakuwa ametokea nchi gani? PIA SOMA - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
Back
Top Bottom