Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k
Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya......
Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule,
Umeme...
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.
Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu.
Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh
Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa
Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
Mwandishi wa Wasafi ambae jina sijalipata, kapata tip huko mtaani vibarua wa Tanesco wanalipwa elfu 15 kwa mwezi nae kaibeba kama ilivyo kaja nayo redioni bila hata kufanya kitafiti kidogo.
Angejiuliza tu 15,000 ukiigawa kwa siku 30 unapata jero kila siku, tenahapo akadai na NSSF wanaikata...
Salaam, Shalom!!
Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni?
Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi.
Mbunge anayeona...
Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!!
Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
Tukiwa katika mifungo ya dini ,mwezi huu kuna unautulivu sana. Kwanza hamna ukabaji na uvunjaji wa majumba, abiria hawapiti madirishani hasa wakazi wa Mbagala, uchangu doa umeyeyuka , kwenye bar watu hawarushiani vyupa na kitimoto napata poa kabisa. Bahati mbaya vioteli vya mjini vimefungwa na...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa
Hili hapa ndio Tangazo la IDU
----
The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
Nawasalimu.
Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.
Msàada jamani.
Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November.
Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela.
Kadi...
Anonymous
Thread
december
hawajalipwa
hospital
hospitali
mishahara
mwezi
tabora
wachache
wafanyakazi
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!
Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei.
Msione aibu...
Wakuu.
OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu
Specification:
Kwanza kabisa ina wireless charging system
Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine.
RAM 6 GB
Storage 128 GB
BATTERY
Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable
Charging15W wired...
Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga.
Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA).
Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu
TUKUMBUKE...
WanaJf, Salaam!
Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.
Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia...
Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga kuzipendelea nchi hizo tu na kupuuza maslahi ya mataifa mengine mengi ya Kusini, na kwamba dhana hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.