Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu.
Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao.
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄.
Tupeane ka support hapo.
Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano.
Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu.
Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
Location ni: Dar es Salaam
Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano.
Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu.
Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022.
Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.