mwezi

  1. Analogia Malenga

    Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

    Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo. Kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
  2. Mwande na Mndewa

    Biashara ya Maji yashamiri jijini Dar es Salaam. Maji yanatoka siku tatu halafu yanakatika mwezi mzima

    Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka. Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
  3. Wakili wa shetani

    Hivi kazi hadi iwe na sifa kuwa ni ajira inatakiwa kumuingizia mtu Tsh ngapi kwa mwezi?

    Wakuu hivi mtu hadi tuseme huyu ana ajira anatakiwa kuingiza Tsh ngapi kwa mwezi?
  4. BARD AI

    Mafuta yapanda Bei, EWURA imetangaza Bei Mpya za Machi 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Machi 2023. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:- (a Kwa Machi 2023, bei za rejareja za mafuta...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Vituko vya Mwisho wa Mwezi

    Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli. Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia...
  6. covid 19

    Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  7. G

    Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

    Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k. Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
  8. Lycaon pictus

    Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  9. Hemedy Jr Junior

    Hivi ni lini Mwezi ukaongoza Jua?

    Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
  10. Stephano Mgendanyi

    Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

    MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/- 3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/- 4. Zahanati ya Itunduru...
  11. Roving Journalist

    Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

    BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
  12. Roving Journalist

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi

    Mfumuko wa bei kwa mwezi Desemba/Januari 2023 kwa baadhi ya nchi: Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244% Tanzania 4.9% Kutokana na takwimu hizi, licha ya ongezeko la mfumuko wa bei, Tanzania bado iko...
  13. Roving Journalist

    Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  14. R

    Makame Mbarawa anafaa kuwa Waziri wa Nishati; Mwigulu Ofisi ya Makamu wa Rais, January Uchukuzi na Kimei waziri wa Fedha.

    Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani mabadiliko haya yatakuwa na tija Kwa kiasi flani. 1. Waziri wa Fedha - Mzee Kimei 2. Waziri wa Nishati-...
  15. B

    Simba mwezi wa pili, tatu na nne ni mwezi wa kupambana

    Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana. Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena wachezaj we need to play football. Kuanza kujaribu wachezaji kipindi hiki kitatugharimu sana...
  16. R

    Kuhusiana na Wamarekani kutua kwenye mwezi

    Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969. Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie...
  17. Mcanada

    Kumbe Mungu alikatazaga Kusherehekea sikukuu za miandamo ya Mwezi Isaya 1:14 (NENO)

    Isaya 1:14 (NEN) Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia. Leo nimeamka alfajiri sana niingie kwenye maombi maana nimetenda dhambi nyingi za kuchepuka hapa canada ili mke wangu akirudi anikute nikiwa...
  18. Mzawa_G

    Muonekano wa mwezi wetu

    Muonekano wa mwezi ukionekana na mashimo katika maeneo yake mbalimbali hata ukiwa huku duniani pia unaweza ukayashuhudia haya mashimo kama siku mwezi ukionekana wote (Full moon) na anga likiwa limetulia. Mashimo hayo yamesababishwa na asteroidi na vimondo mbalimbali vilivyoweza kuushambulia...
  19. Mzawa_G

    Umeuona mwezi katika siku ya leo baada ya giza kuingia?

    Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu. Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
  20. Aliko Musa

    Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
Back
Top Bottom