mwezi

  1. M

    Picha bora ya mwezi: Kipa wa Yanga alivyoteswa na Kibu

  2. Termux

    Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  3. The Eric

    Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

    Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul. ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila...
  4. Webabu

    Ama kweli huu ni mwezi mtukufu.Miji imekuwa majiji

    Miujiza ya Allah ni mingi sana.Moja wapo ni katika huu mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ameujaalia uwe ni ujumbe kwa kila binadamu aliye hai.Si kwa waislamu peke yao ila ni kwa watu wa dini zote. Tangu siku ya mwanzo mwezi unapoanza masoko hujaa wanunuzi.Tulidhani kwa vile watu wanafunga basi kula...
  5. L

    Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  6. Matope

    Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  7. R

    Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  8. L

    Waislamu wa Xinjiang wanavyotekeleza ibada ya Kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa uhuru

    Wiki iliyopita Waislamu zaidi ya bilioni moja kote duniani walianza kutekeleza nguzo ya nne ya Uislamu ambayo ni kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo China, ndani ya kipindi hiki Waislamu hutekeleza imani yao kwa uhuru bila kubanwa. Kwa hivyo kwa wale ambao...
  9. Uponyaji na uzima

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  10. JumaKilumbi

    Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

    (Ramadan Kareem 🌙) Na, JumaKilumbi. 1. KULA AU KUNYWA WAKATI WA FUNGA Kitu chochote iwe kinywaji au chakula kikipita ktk koo la mfungaji huhesabiwa amefungua swaum. Hii haihusishi vile vinavyoishia kwenye ulimi bila kupita na kuteremka kooni. 2. KUFANYA MAPENZI WAKATI WA FUNGA, NA KUSISIMKA...
  11. L

    Waislamu mjini Beijing waanza kukaribisha mwezi wa Ramadhani kwa kuandaa vyakula mbalimbali halali vya Beijing

    Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na ibada ikiwemo kujizuia mambo yote yaliyokatazwa yakiwa ni pamoja na kula na kunywa wakati wa...
  12. Melki Wamatukio

    Ramadhani ya mwaka huu imeanza na mimi. Kwani ni sheria kumnunia mwanaume ndani ya mwezi huu?

    Baada ya kumaliza sala za asubuhi naingia zangu kwa mama Pima kupata chai. Nakuwa mteja wa kwanza kufika hapo. Mama Pima anabaki akinikodolea macho! Namuuliza chai vipi? Au hauuzi? Anaamua kunichemshia kikombe kimoja cha chai ya majani machungu na kiporo cha chapati mbili. Nampisha afanye usafi...
  13. kali linux

    Namna Mwekezaji Bill Ackman alivyogeuza $27m kuwa $2.6b ndani ya mwezi mmoja (almost 10,000% ROI)

    Hello bosses and rosses... Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta ghafi(crude oil) kufikia zero hadi negative. Hapa nchini kwetu nakumbuka the rate Magufuli (RIP) alipeleka...
  14. Analogia Malenga

    Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

    TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS ZANZIBAR RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022 I have the honor to refer to the above subject. Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
  15. Stephano Mgendanyi

    Dira ya Taifa ya Kuhamia katika Nishati Safi ya Kupikia Kuzinduliwa Mwezi Juni 2023

    DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa...
  16. M

    Hawa Simba wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu kuchelewa

    Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije kumlaza njaa Mwl. Mpwayungu Village
  17. DR SANTOS

    Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

    Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake. Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period Ya pili pia Nasubiri ya tatu Sasa😀 Pesa za p2...
  18. wilcoxon

    Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  19. S

    Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  20. The Assassin

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini. Soma hapa...
Back
Top Bottom