mwezi

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

    Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi. Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
  2. Expensive life

    Huku viwandani mshahara ni laki na kumi kwa mwezi kama hautaki sepa

    Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani? Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
  3. Chizi Maarifa

    Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  4. E

    Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  5. G

    Kakibunda ka wapendanao day

    Tuepane mishe wadau wapi niweke ka pesa chap nipate kakibunda ka kumtutumua mtoto wa ma mkwee?
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Kumbukizi: Julai 2017 Rais Hayati Magufuli aliokota vichwa vya treni bandarini

    Nawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini. Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
  7. Tomaa Mireni

    Phone4Sale Redmi 10C ina mwezi tu ipo sokoni bei ya Januari

    Hii nakupa na box lake haina tatizo hata kidogo waranti imebaki miezi 10 Sifa zake hizi Piga simu 0625547181
  8. marehem x

    Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

    Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi. Wakulungwa!!!... Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi. Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo. Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
  9. mcshonde

    China na Marekani wagombania kuutawala au kumiliki Mwezi

    Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao. "tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
  10. Execute

    Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  11. Pang Fung Mi

    Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

    Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui...
  12. Wakili wa shetani

    Nini Kifanyike kuepukana na mdororo wa uchumi ambao hutokea mwezi january?

    Imekuwa kama wimbo. Kila ikifika january maisha kuwa magumu na watu kulalamika kuwa hali mbaya, kama vile ni jambo la sifa. Sasa si vyema watu wazima kulalamikia(Kushabikia) tatizo miaka nenda rudi. Tuje na suluhisho ambalo litakomesha mdororo wa uchumi ambao hutokea mwezi januari. Wazo langu...
  13. mitale na midimu

    YOM HAKIPPUR: Wanachokifanya WACHAGA DECEMBER ni Sawa na walichofanya WAISRAEL siku ya kumi ya mwezi KISLEU

    Mwenyezi Mungu aliwaelekeza mara moja kwa mwaka Waisrael wakutane katika mkutaniko na familia zao kupatana nae. Hii ilikuwa ni Siku ya kusameheana. Ilikuwa ni Siku ya kuanza upya na Mungu wao. Wayahudi walisafiri popote walipokuwa duniani na kurudi kwao kwa ajili ya tukio hilo. Siku hiyo...
  14. S

    CHADEMA siwaelewi. Bado siku 2 mwezi uishe lakini Kamati Kuu haijakutana. Why?

    Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
  15. MFALME WETU

    Huu mwezi mahusiano mengi yanaenda kuvunjika

    Mimi kesho nasafiri kwenda Zanzibar na Mchepuko Wangu. Kurudi Dar ni Mpaka Tarehe 30.
  16. SankaraBoukaka

    Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

    Habari wanandugu, Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
  17. Superbug

    Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

    Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!
  18. Naanto Mushi

    Wakongomani 10,000 wameitikia wito wa kujiunga na jeshi ndani ya mwezi mmoja

    Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea, nadhani at some point Kagame itabidi afanye reassessment ya alichokuwa anakifanya Congo. Kama vita...
  19. NetMaster

    Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  20. kimsboy

    Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa...
Back
Top Bottom