mwezi

  1. N

    Watu wanazikamua hela bwana, acha kabisa; mashuleni mpaka sasa hakuna kitu tangu mwezi Januari.

    Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya...... Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule, Umeme...
  2. Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  3. Itambue miezi mitukufu kwa mujibu wa uislamu. Mwezi wa Ramadhani si katika miezi mitukufu

    Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
  4. Waandishi wetu bhana! Kapewa tip Tanesco vibarua wanalipwa 15,000 kwa mwezi kaileta redioni kama ilivyo

    Mwandishi wa Wasafi ambae jina sijalipata, kapata tip huko mtaani vibarua wa Tanesco wanalipwa elfu 15 kwa mwezi nae kaibeba kama ilivyo kaja nayo redioni bila hata kufanya kitafiti kidogo. Angejiuliza tu 15,000 ukiigawa kwa siku 30 unapata jero kila siku, tenahapo akadai na NSSF wanaikata...
  5. R

    Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

    Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi. Mbunge anayeona...
  6. R

    Pre GE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Salaam, Shalom! Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!! Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
  7. Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
  8. Mwezi huu umetulia

    Tukiwa katika mifungo ya dini ,mwezi huu kuna unautulivu sana. Kwanza hamna ukabaji na uvunjaji wa majumba, abiria hawapiti madirishani hasa wakazi wa Mbagala, uchangu doa umeyeyuka , kwenye bar watu hawarushiani vyupa na kitimoto napata poa kabisa. Bahati mbaya vioteli vya mjini vimefungwa na...
  9. 20 July, 1969 Armstrong na Buzz kwenye ardhi ya mwezi

    Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine. Huu ulikuwa mwaka 1969 Wenzetu wametuacha mbali sana
  10. Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

    Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
  11. Freeman Mbowe kuhutubia IDU Forum Mwezi April 2024

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa Hili hapa ndio Tangazo la IDU ---- The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
  12. Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  13. K

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  14. A

    DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

    Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela. Kadi...
  15. Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  16. Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

    Wakuu. OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu Specification: Kwanza kabisa ina wireless charging system Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine. RAM 6 GB Storage 128 GB BATTERY Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable Charging15W wired...
  17. Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  18. Mwanariadha Jackline Sakilu Ashinda Tuzo za TASWA kwa Mwezi Februari, 2024

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA). Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu TUKUMBUKE...
  19. Ilitakiwa Uchaguzi Mkuu ufanyike kipindi cha Mwezi Mtukufu au Kwaresma?

    WanaJf, Salaam! Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura. Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia...
  20. L

    Huu ni mwaka wangu wa 16 kufunga mwezi wa Ramadhani China

    Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga kuzipendelea nchi hizo tu na kupuuza maslahi ya mataifa mengine mengi ya Kusini, na kwamba dhana hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…