Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM.
CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...