Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,
Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k
Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.
Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu.
Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah!
Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅
See this evidence 🤸🤸
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo.
Katiba ya Madagaska inamtaka kiongozi mkuu wa nchi anayetaka kugombea...
Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi.
Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya!
Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!.
Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60.
Nadhani hii iwekwe kwenye...
Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337.
TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri.
Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi.
Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
Wakuu za jioni.
Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana.
Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa?
Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu.
Halmashauri hiyo...
Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa?
Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu.
Halmashauri hiyo...
Mtandao : TIGO
Bando / Kifurushi – Tigo Post-Paid 80 GB / Elf 60 Kila mwezi. (mawasiliano natumia mtandao mwengine kwasababu naitumia namba hio tangu 2006, naunga bando la elf 10 mitandao yote )
Kifaa nachotumia ni Router ya Tigo
Nipo Dsm, Mbezi Louis
Nimeanza kuhesabu from scratch (0 KB)...
Nipo kikazi mkoa flani pande bush ndani ndani, na kwakweli nilichoona huku mitaani chakula sina imani nacho, Nimezoea kula chakula safi kilichopikwa nyumbani na hata mchana huwa nalia nyumbani ama naletewa chakula kilichopikwa nyumbani, mara kadhaa tunaenda hotelini ama restaurants nzuri na...
Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso.
Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje!
Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu?
Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa.
Karibuni.
Hivi ndivyo mwezi unavyoonekana ndani! Sayansi iheshimiwe! Watu wa dini kaeni mbali hamkawii kusema muujiza! Hiki ni chombo cha mhindi na siyo Mrusi wala Mmarekani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.