Tairi la Kushoto nina Kiberenge cha Makaburu,. Tairi la Kulia nina Kiberenge cha Kiswahili ( cha zamani ) kinachotambulishwa rasmi tarehe 28 au 29 huku katikati kukiwa na Mseto wa Injini Kubwa Nne ya Kiganda, Ivory Coast, Burkina Faso na Congo DR huku kama kawaida Milango ya Chombo hicho ikiwa...
Waraka huu mpya umewasilishwa bado tukiwa kwenye sintofahamu ya waraka wa mwezi uliopita ulioruhusu maaskofu kubatiza waliobadili jinsia na kuwaruhusu wawe wazazi wa kibatizo bila kutoa msisitizo mkali kwamba suala la kubadili jinsia ni chukizo kwa Mungu.
Chanzo cha uhakika cha kupata matamko...
Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo.
Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au...
Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana?
Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje.
Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
Anonymous
Thread
afya
hai
idara
idara ya afya
likizo
mwezi
usumbufu
Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini.
Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.
https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU.
Anàandika, Robert Heriel
Shahidi
Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
Hellow guys,
Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.
Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia “anahisi anatumia nguvu sana na sifiki kileleni.” Hivyo nikaamua kuanza kujaribu kama uwezo ninao au lah...
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia.
Hiyo biashara imejigawa pande...
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
Ndo hivyo wakurugenzi.
Mwaka jana nilikuwa na nia kabisa ya kitaka kuoa kutokana na upole, unyenyekevu, heshima na adabu aliyokuwa nayo huyo binti licha ya uzuri na rangi yake
Mahari yenyewe haikuwa kubwa kiasi hicho, ni 300k tu. Niliitoa kiutani utani nikisindikizwa na ndugu pamoja na...
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.
Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii.
Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika.
Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30.
Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.