Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp
😭😭😭😭
Usafiri wa mwendokasi unazidi kuzidiwa nguvu kila siku.
🥲 kwa nini wasipunguze adha kuwa kuleta ata 20
Leo kuna mtu kamshika mwenzie shingo akijua ni nguzo
Mwendokasi
Mwendokasi
Mwendokasi
Huu ujio wa magari umepigwa sana tarehe mnaishia kupiga nayo picha tu.
Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja.
Tunaendelea kuupiga mwingi.
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.
Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu
Si mbaya tukayasahihisha
Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma
ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025
Naamini tutaona tofauti
Thx
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.
TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
Wakuu habari zenu
Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako.
eneo ni dsm: juu ya ghorofa
mnara ni halotel.
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025)
Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN.
Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.
Kama ni mgonjwa naweza...
Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi.
Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika.
Media hasa za uingereza...
Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3?
Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.