mwezi

  1. Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya

    Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya. Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa, kupata, kuinuka Bwana hakika sisi na wanadamu ndani mwetu hatuishiwa mahitaji Bwana. Tunazo ndoto za...
  2. Mwezi July 2024 huyu Mwanayanga alimwonya Prince Dube na Aziz Ki. Wakakaidi

    Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi. Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo. Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na...
  3. U

    Picha bora kabisa ya mwezi huu wa Novemba 2024

    Kichwa cha habari chahusika
  4. Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

    Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji. Angalizo: Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba...
  5. LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

    Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM). Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni. CCM wanashangaa matatizo waliyonayo...
  6. Mwezi wa Marehemu wote unaisha

    Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda...
  7. TCB wameshaita watu interview kwa post walizotangaza mwezi August na September 2024?

    Wakuu mambo vp? HiviTCB wameshaita watu interview kwa post walizotangaza mwezi August na September 2024? Kwa waliopo close na jiko naomba updates pliz
  8. Changamoto ya usafiri kila ifikapo mwezi Disemba

    ๐Ÿ“–Mhadhara (62)โœ๏ธ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya kwenda kula sikukuu mikoa mbalimbali. Sikatai kuwa kipindi hiki vyombo vya usafiri vinazidiwa nguvu...
  9. Bei ya Mafuta yashuka mwezi Novemba, EWURA yatahadharisha wauzaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba. Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
  10. Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  11. Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸšจHesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐— ๐—ฒ๐—ฟ๐—ธ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€ ๐——๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฟ๐—ผ๐˜†๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐—›๐—ฒ๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ตโ€ฆ Hezbollah has announced the destruction of two...
  12. Gachagua hatapokea mshahara mwezi Oktoba

    Aliyekua Naibu Rais Gachagua Mwezi huu hatapokea mshahara, kama ilivyo kawaida Bali nae inabid ajiajiri kama vijana wengi wanavyohusiwa na wanasiasa.
  13. T

    Hivi mshahara wa mwezi huu umetoka? Mbona kwangu bila bila?

    Wakuu hivi mshahara umetoka? Kwa wanaoutumia benk ya NMB mshahara umetoka? Au ndiyo nill wote kama mimi?
  14. Z

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  15. KERO Wakazi wa Ubungo Kibangu tumewakosea nini DAWASA? Maji hayajatoka sasa ni Mwezi, Waziri wa Maji fuatilia hili jambo

    Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
  16. Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  17. KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

    Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
  18. Angalia leo usiku - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi

    WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30 English version is below the Kiswahili information Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
  19. Naona nimpe sunspension kama ya mwezi hivi

    Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani. Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba, yaani ile hali ambapo ugomvi huanza, halafu anajua kuwa hata nikinuna, mwisho wake huwa ni mwepesi...
  20. Matumizi yangu ya mwezi

    Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000 Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi Silipi kodi Total 1.1m Income 1.3m
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ