Ndugu zangu Watanzania,
Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka. Yaani:
107,000,000 x 12= 1,284,000,000/=.
Ambapo hata hivyo CHADEMA inasema kiasi hicho ni kidogo...