mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Prof Koboko

    Yupo wapi Waziri wetu wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba?

    Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza. Sijamsikia tangu juzi bungeni angalau angejitokeza hata kutoa salam za rambirambi kwenye account yake...
  2. Replica

    Mwigulu Nchemba: Tanzania haikutuma maombi wala kulipia kuingia uchumi wa kati. Agusia deni la Taifa

    Leo Dkt. Mwigilu Nchemba alisamama kuhitimisha hoja ya mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano kwa mwaka 2021/22 hadi 2025/26 kwa niaba ya wizara ya fedha na wabunge kujadili kwa takribani siku tano. Pamoja na mambo mengine amefafanua hoja chache ikiwemo mjadala wa...
  3. F

    Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  4. Fundi Madirisha

    Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wanaomuuliza maswali

    Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake. Hapa ni video ya mwananchi aliyepigwa na watu anaosema kwamba walikua na Mwigulu kwenye gari...
  5. J

    Mwigulu Nchemba anashangaa Waziri kufua nguo Ulaya hajui kuwa mabeki tatu walikuwa wanatumwa buchani SA kununua kitoweo

    Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki. Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
  6. M

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

    Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo...
  7. Kinoamiguu

    Uchaguzi 2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  8. M

    "Kimbunga" cha Membe na Hoja za Lissu zitamng'oa Dkt. Mwigulu Nchemba Iramba!

    Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
  9. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  10. M

    Mwigulu Nchemba, umechagua strategy mbaya kurudi ulingoni

    Mheshimiwa kwanza nikupongeze, you are smart, but the problem is you are 'evil smart' sometimes. Katika historia yako ya utumishi, umegundua siri ya namna ya kuwatumia watawala wakupe unachokitaka nitakupa mifano. Kipindi cha Jakaya uligundua CCM ya wakati huo ni legevu, haina watu wa kwenda...
  11. Pascal Mayalla

    Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
  12. chakii

    Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

  13. Mohamed Ismail

    Dakika 10 za moto hotuba ya Mwigulu Nchemba bungeni

    Baada ya kupata futari yangu safi kwa mama mmoja wa Kitanga anayefanya taaluma ya upishi kuwa ni mojawapo ya sanaa maana anafanya mapishi yaonekane ni jambo jepesi. Nilivyofika pale nikala tende zangu kisha nakujichukulia take way ili nikapatie futari kwangu kuepukana na msongamano wa watu. Ile...
  14. Kidugu

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Iramba kwanuka, Asutwa

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  15. Kidugu

    Uchaguzi 2020 Msumari hatari kwa Mwigulu Nchemba

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  16. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 Baada ya kauli ya Mwigulu Nchemba kuhusu kuficha takwimu za maambukizi ya COVID-19, Kitila Mkumbo asema kauli hiyo ni ya mtu mjinga

    Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania. Tukumbuke watu...
  17. M

    Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

    Wewe ni Mchumi na siku zote wachumi huelezea uhalisia wa mambo kwa namba. Wataalamu wanadai "namba haziongopi". Mheshimiwa umekosa ujasiri wa kusema mambo ambayo umeifanyia Iramba kwa sababu hamna ulichofanya ambacho unaweza kujivunia. Au unataka kuongelea kwa mfano shule yako ya Kata yaani...
  18. S

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Habari Tanzania! Umewahi kujiuliza ni kwa kiwango gani Ushauri wa Kitaalam (Consultancy) ni muhimu katika uanzishaji, endelezaji na kufanikisha shughuli zetu za Kibiashara, Miradi mbalimbali, Ujasiriamali, n.k? Pia, kwa kiasi gani watanzania tumekuwa tukipata ushauri toka kwa Wataalamu wetu...
  19. S

    Mambo ya kutathmini mwisho wa mwaka

    Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
  20. Ndachuwa

    Uchaguzi 2020 Pendekezo la kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa 2020 to 2025

    Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja wa kitaifa itakayoshirikisha vyama vyote vyenye wabunge ili kufanya yafuatayo:- (i) Pesa yote ya...
Back
Top Bottom