Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...