mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  2. Shujaa Mwendazake

    Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

    "Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta" Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
  3. Miss Zomboko

    Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
  4. TheDreamer Thebeliever

    Mwigulu ni genius, kwa bajeti hii ametutua mzigo wenye nyumba

    Habari wadau..! Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba. Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa automatically na wapangaji kupitia manunuzi ya umeme kama wenye nyumba hauishi kwenye nyumba uliyopangisha au...
  5. Erythrocyte

    Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  6. Roving Journalist

    Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  7. fasiliteta

    Mwigulu kujipendekeza to the Maximum, amfate Chalamila

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina tofauti na kauli ya aliyekua RC wa Mwanza Mr. Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa...
  8. Infantry Soldier

    Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  9. chakii

    Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    .
  10. B

    Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

    Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo; Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo kimsingi haina hoja mahususi inayolazimisha kumtaja JK, Magu Wala Mkapa. Ni Nini kimemsukuma kuweka...
  11. beth

    Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba aeleza changamoto za Wizara hiyo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
  12. Replica

    Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
  13. L

    Iramba tuache unafiki - Tusimfitini Dkt. Mwigulu kwani bado ana nafasi ya kuisaidia Iramba

    Bahati nzuri Ndugu yangu ni mmojawapo wa madiwani wa viti maalum Iramba. Katika udiwani wake huu ni muhula wa pili na anakiri isingekuwa Dr. Mwigulu asingeshinda mwaka jana kwani upinzani ndani ya Chama ulikuwa mkali sana. Ndugu yangu anabaisha bayana kuwa Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi Dr...
  14. mngony

    Mwigulu atolewe Uwaziri, apokee kijiti cha Polepole kuwa Katibu Mwenezi

    Akiwa kama Waziri wa fedha ana majukumu mazito ya kumsaidia Rais kukuza uchumi wetu na kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja. Ni wazi uchumi wetu umedorora na unahitaji juhudi kubwa sana huku mambo mengi yakitukabili, kuna wastaafu, watumishi wanataraji nyongeza mishahara, miradi mikubwa...
  15. M

    Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba unapata wapi 'guts' za kutupangia 'emotions' zetu Watanzania juu ya Msiba uliotupata?

    Tena leo nakusema (nakuchana) Mubashara na kwa Uhuru kabisa kwakuwa Wewe upande wa Kabila na Mkoa ni Mtani wangu (Nyiramba na Nyaturu) na hata katika Medani za Soka la Tanzania pia ni Mtani Wewe ukiwa Yanga SC na Mimi nikiwa Simba SC. Kwanza nikuambie tu Mtani wangu Mwigulu kuwa Kibinadamu...
  16. L

    Uchaguzi wa 2020 ulivyoweka vibaraka wa Mwigulu Jimbo la Iramba

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema hivyo kwa kuwa alikuwa darasani na kakangu mimi na aliambulia Daraja la Sifuri - kitu ambacho huwa...
  17. B

    Mwigulu hatodumu Wizara ya fedha, hana traits za kuimudu kazi yake

    Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na Wafanyabiashara, wachumi na pia kuangalia trend ya soko la hisa la nchi husika. Nikimwangalia nakumsikiliza...
  18. U

    Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo. Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa...
  19. The Mongolian Savage

    Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

    Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
  20. polokwane

    Mwigulu Nchemba huwa nampongeza kwa jambo moja kuu alipo kuwa Naibu Wizara ya Fedha

    Kitendo chake cha kuhamishia mishahara ya watumishi wa umma kulipwa mojankwa moja kupitia hazina kitendo kilicho wanyima ulaji ma afisa utumishi na wakurugenzi na wakuu wa idara aliweza sana sana Naamini pia hata sasa ataiweza wizara hiyo bila shida.
Back
Top Bottom