Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe...
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu...
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi
Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'
Wanaoijua siasa
Wanaokijua chama
Wanaoijua serikali (ki muundo, mfumo na taratibu)
Wanaowajua na watakao wamudu watanganyika...
Wasalaam wanajukwaa!
Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau yaliyopita na tugange yajayo.
Ndugu yetu Mwigulu Nchemba naye jina lake linatajwa kiasi flani katika wale...
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say,
Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya.
Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni kwa sababu Lugha ya Kiingereza ilikuwa ni kama Mama Mkwe kwa Magufuli, na hivyo pengine ilikuwa...
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali...
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza.
Sijamsikia tangu juzi bungeni angalau angejitokeza hata kutoa salam za rambirambi kwenye account yake...
Leo Dkt. Mwigilu Nchemba alisamama kuhitimisha hoja ya mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano kwa mwaka 2021/22 hadi 2025/26 kwa niaba ya wizara ya fedha na wabunge kujadili kwa takribani siku tano. Pamoja na mambo mengine amefafanua hoja chache ikiwemo mjadala wa...
Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki!
Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili
Imeamriwa kufanywa hivyo ili iwe rahisi kwa wananchi kuelewa sheria hizo hususan wakati wa kesi na hukumu ili...
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake.
Hapa ni video ya mwananchi aliyepigwa na watu anaosema kwamba walikua na Mwigulu kwenye gari...
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua Jessica kwa kutumia tume ya uchaguzi zilipobuma upepo ukageuka jumla , ama kwa hakika hakuna marefu...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.
Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.
Sikia mheshimiwa huyu
Ninawasilisha.
Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki.
Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo...
Juzi baada ya kushtukia mpango wa viongozi wa CCM Wilaya kumpatia kura Dkt. Mwigulu Nchemba mpango huo ulichezwa kwa namna ingine.
Pamoja na kuweka mazingira yote kuwa kura zitahesabiwa kwa uwazi na taratibu zingine zote kufuatwa bado Dkt. Mwigulu alikuwa kishawashawishi viongozi wote wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.