Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?
Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.
Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja...