Wanajamvi wasalaam.
Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.
Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.
👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine...