Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37.
Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
Iko hivi Celebrities waliojitokeza kwa wingi kwenye kinyang'anyiro hiki walipigiwa simu wakaombwa waje kugombea UNEC kimkakati, target ni kudhibiti mjadala baada ya matokeo yenu waadhibiwe pamoja na nyie ili umma uamini matokeo ni sahihi, lilikuwa ni igizo. 2030 amueni muungane au mkubali...
Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika sana na jamii na wanafaa kushika madaraka makubwa ya nchi.
Najiuliza leo Mwaka 2022 Makamba na...
Wito wa Waziri wa Fedha, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa! Anaebisha aseme!
Yupo Sahihi kabisaa maana ukiangalia hawa wazazi ni mfano wa kuigwa kwake....
1. Samia amemsaidia mtoto wake kujiajiri kwani binti yake mmoja ni Mbunge na mkwe wake ni Mbunge na ni Waziri...
“Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.”
-Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema,
"Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
Waziri wa Fedha na mipango Dr. Mwigulu Nchemba akizungumza na Clouds 360 asubuhi hii kuhusu Deni la Taifa amesema Tanzania ni nchi iliyo na sifa nzuri kimataifa, ikiwemo kuwa na uwezo wa kukopesheka pasipo vikwazo.
Akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini anajisifu kuwa na...
Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba.
Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni...
This guy, seen here singing empty praises, is a disgrace - and that's putting it mildly. But the sad thing is, he thinks that donning all that gear and singing those hollow praises makes him knowledgeable, and this is where it gets interesting.
Knowledge is manifested through reason and...
90' Mpira umekwisha
85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa.
82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa.
74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya mashambulizi, Kagere anaipatia Singida goli.
65' GOOOOOOOOOOOOOO! Mayele anafunga goli la nne kwa Yanga na la...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nishati Januari Makamba wamepoteza sifa za kuendelea kubaki kwenye madaraka yao kwa kitumia vibaya nafasi zao za uwaziri kumdanganya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan juu ya mambo mbalimbali ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao ili lile lengo...
Katiba ya chama chetu haisemi kwamba tusitie nia au tumuachie aliyepo bila kumpa changamoto yoyote! Hapana! Tutashindana ili tumpate aliye bora! Mimi sitasubiri 2030, nitapambana na Samia 2025 ili demokrasia iamue!
Sitafanya kama ambavyo Makamba na wengine wanaoshauriwa kwamba wangoje 2030...
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.
Vyanzo...
Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa.
Chalamila anatumika kufikisha ujumbe kwa watu. Bahati nzuri mama yeye hawezi zungumza sababu ya upole na hapendi maneno...
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa.
Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.