Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA.
Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na...
Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake.
Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.
Namnukuu
'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary...
Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake.
Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA!
1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.
Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.
Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga.
Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
Kelele kibao na kejeli.
Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe?
Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi?
Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza.
Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
Wachumi wakubwa Tanzania na mlioko nje ya Tanzania tusaidieni kufanya uchambuzi kati ya Mpina na Mwigulu nani yuko sahihi kwenye hoja ya Mfumko wa Bei na usimamizi hafifu wa Sera za Fedha.
Hebu tuwasikilize kwa makini hawa viongozi wetu wawili alafu mtusaidie uelewa tanzania ni yetu sote.
Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali.
Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.
Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?
Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa.
Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.