Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Ni kumchana live tu.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
Mtanisamehe!
Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo.
Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.
Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya.
Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.
2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095.
Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
Lewis E. Gleeck Jr, ni mtumishi wa zamani wa Idara ya Mambo ya Nje, Marekani. Baada ya kustaafu, akiwa amelitumikia taifa lake kwenye nchi mbalimbali duniani, aliweka makazi yake Ufilipino, akifanya kazi na Shirika la Marekani la Misaada (USAID).
Katika maisha yake, Gleeck aliandika vitabu 14...
Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala.
Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa huu ujinga aliofanya Waziri.
“Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu"
Waziri wa fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba amesimama Bungeni leo September 20, 2022 na kutoa kauli ya Serikali kuhusu tozo ambapo ameeleza marekebisho yatakayofanyika a kuanza kutumika kuanzia October 1, 2022.
Waziri Mwigulu amesema “Serikali...
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango...
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo...
baada
breaking news
bungeni
kazi
kuanzia
kuhusu
kupungua
kusoma
mitandaoni
muda
mwigulu
nafuu
news
oktoba
septemba
serikali
tozo
viongozi
waziri
wengi
yafuta
Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming".
Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400.
Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa.
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei...
Changamoto kubwa, nionavyo mimi, ya nafasi ya uraisi ni kusita kufanya maamuzi kutokana na labda kuogopa lawama na kelele kutoka kwa wananchi na wadau wengine.
Makamba, Mwigulu na Nape;
Hawa matusi yameshamalizika ya kuwatukana kabla ya kufanya lolote, sijui kama kuna tusi la kuwatukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.