mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  2. Magical power

    Haya ndio Maisha halisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire

    Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
  3. T

    Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  4. K

    Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  5. Mganguzi

    Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  6. Echolima1

    " Benjamini Netanyahu aapa kulala nao kiulaloulalo magaidi wa Hamas baada ya kuwaua watoto ariel na kafri Bibas na mwili wa mama yao kufichwa

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na...
  7. Mtunisia mweusi

    Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  8. T

    ALIYEUNGWA NA KAHABA AMEKUWA MWILI MMOJA NAYE:

    MAKALA HII imeandaliwa na CREEZLE FAREY WhatsApp ME +255789407381 KAHABA : Kahaba ni neno linalotumika kumaanisha mtu anayejiuza kwa ajili ya ngono. Katika muktadha wa jamii, kahaba mara nyingi anachukuliwa kama mtu anayefanya kazi hii kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na umaskini...
  9. Jack Daniel

    Urudishie mwili shukrani, Duniani tunapita

    Ndivyo navyoweza kusema, Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya kubana bajeti. Kuna mtu anaweza kumaliza hata mwezi hajawahi kula nyama na familia yake kisa anabana...
  10. Maleven

    Wadau nikomae au niusikilize mwili?

    Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kuwa mkali. one two one two...
  11. Genius Man

    Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  12. Rozela

    Ni kiungo gani cha mwili wako unachokikagua mara kwa mara

    Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
  13. Zemanda

    Siri ya kibaiolojia katika mwili wa mwanamke ambayo wengi hawaifahamu

    Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia. Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye hajaingiliwa kabisa na mwanaume, House girl ambaye anaweza kukaa hata miaka 3 akiwa kazini bila kufanya...
  14. Magical power

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  15. R

    Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

    Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU...
  16. J

    Ufafanuzi wa kinga za mwili

    Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa yoyote lbda ya ganzi wakati natoa jino. Pia naweza kukaa miaka 7 sijaumwa zaidi ya mafua tu na...
  17. Pascal Mayalla

    Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke? Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
  18. OCC Doctors

    Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza kwenye tishu za mwili.

    Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa kuvuta pumzi kisha hufika kwenye mapafu na kuingia katika mkondo wa damu na kusambazwa mwilini.
  19. Apollo tyres

    Je, binadamu yupo na backteria katika mwili wake?

    Ukichukua maiti ukaiweka sehemu safi mfano katika vigae au kitandani, Hii maiti ikianza kuoza wale bacteria (wadudu) ambao huanza kuibuka je huwa wanatoka wapi? Kama ni katika mwili means ndani ya Mwili wa binadamu kuna hao backteria ?
  20. B

    Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

    MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya...
Back
Top Bottom